×

Rais Mtarajiwa Emmerson Mnangagwa Awasili Zimbabwe

Emmerson Mnangagwa.

Rais mtarajiwa wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa leo  amerudi Zimbabwe akitokea nchini  Afrika Kusini.

Anatarajiwa kutoa hotuba yake katika makao makuu ya chama cha Zanu-PF mjini Harare. Kabla ya kuondoka Afrika Kusini alikutana na  Jacob Zuma na kuogea pamoja.

Leave a Comment