Dtk. Louis Shika maarufu kama “Mzee wa 900 Itapendeza” amefunguka kuwa amefurahi sana baada ya zoezi hilo kushindikana na hiyo inamaanisha kuwa nyumba hizo ni kwa ajili yake tu na baada ya wiki mbili atazinunua, kwa sababu pesa zake zitakuwa zimeshaingia.