Mwandishi wa Habari wa Mwananchi, Azory Gwanda anadaiwa kupotea baada ya kuchukuliwa na watu ambao hawajajulikana tangu Novemba 21 mwka huu na hajulikani alipo mpaka sasa.