×

Usiku wa ‘900 Itapendeza’ Waiteka Dar Live

Kundi la Taarab la Jahazi likitumbuiza ukumbi wa Dar Live Usiku wa ‘900 Itapendeza’.
Wachezajiwa Twanga Pepeta wakiwa stejini chini ya uongozi wa Msafiri Diouf.
Mashabiki wakifaidi uhondo wa muziki wa Twanga Pepeta.
Msanii wa Bongo Fleva,Linex, akitumbuiza.

Usiku wa ‘900 Itapendeza’ uliofanyika usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Dar Live, uliohudhuriwa na Dkt. Louis Shika kwa ajili ya kuongea na wananchi kuhusu utajiri wake na mchakato wa dhamira yake ya kununua nyumba za Lugumi,  palikuwa pia na burudani kutoka kwa  Ebitoke, Jahazi Modern Taarab, African Stars ‘Twanga Pepeta’ na msanii wa kizazi kipya Linex na wengine kibao.

Stori: Issa Mnally | Global Publishers