×

Tanzia: Mtangazaji wa Radio Free Afrika, Msabaha Afariki Dunia

TANZIA: Aliye kuwa mtangazaji maarufu wa Radio Free Africa, Zubery Msabaha amefariki dunia usiku wa kuamkia leo. Shughuli za mazishi inatarajiwa kufanyika leo huko Mabatini jijini Mwanza.