BAA maarufu ya Kitambaa Cheupe iliyopo Tabata jijini Dar es Salaam inateketea moto.
Kwa mujibu wa mashuhuda walipo eneo la tukio, bado chanzo cha moto katika baa hiyo inayomilikiwa na mwanamama Jesca Kitambaa Cheupe bado hakijafahamika mara moja.