×

Wanahabari Watatu Mbaroni kwa Kujifanya Usalama wa Taifa na Kutapeli

WAANDISHI wa habari watatu; Paul Kayanda, Shabani Njia na Saimoni Dionizi wanashikiliwa na Jeshi la Polisi wilayani Kahama mkoani Shinyanga kwa tuhuma za kujifanya maafisa wa usalama wa taifa na kudaiwa kujipatia fedha kiasi cha Tsh. milioni 1 kutoka kwa mganga wa jadi kwa njia ya udanganyifu.

Kilichosababisha Kupasuka kwa Bomba la Gesi na Kuwaka Moto Dar