×

NEC Yatangaza Uchaguzi Mdogo Kata Sita

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza uchaguzi mdogo wa madiwani katika kata nyingine sita utafanyika Februari 17, 2018.

Kata hizo ni:
Buhangaza (Muleba )
Kanyelele (Misungwi)
Mitunduruni (Singida)

Kata nyingine ni Kashashi, Gararagua na Donyomuruak za Siha, Kilimanjaro ambazo madiwani wake wamejiuzulu hivi karibuni.

TBC: Mvua Yazidi Kusababisha Maafa Dodoma