Wakili Kibatala Apata Pigo Global Publishers January 12, 2018 4,730 views SHARE THIS: Wakili msomi Peter Kibatala ambaye pia ni mwanachama wa Chama Cha Demokrasia na Mkurugenzi wa Sheria na Katiba Maendeleo (CHADEMA) amepata pigo baada ya kumpoteza mama yake mzazi Bi. Anna Mayunga ambaye amefariki jana. SHARE THIS: