Makamuzi ya Twanga Pepeta Usiku wa Kuamkia Leo ni Sheeda
Global Publishers January 15, 2018
SHARE THIS:
Jojoo Jumanne akimchagiza Luiza Nyoni kwa gitaa.
Bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta’ usiku wa kuamkia leo ilifanya makamuzi kwenye Baa ya Brazil iliyopo Tegeta Kibo jijini Dar.
Jojoo Jumanne akicharaza gitaa huku akicheka, kulia ni Fasha Joshua akifanya yake.
Katika onesho hilo wakongwe Ally Choki, Luiza Nyoni na Msafiri Diouf waliliongoza vyema kundi hilo huku Super Nyamwela nae akiongoza safu ya Unenguaji. Shuhudia Picha hizi.
Luiza Nyoni (katikati) akifanya makamuzi na wenzake.
Mpiga Solo Jojoo Jumanne akifanya yake
Msafiri Diouf (kulia) akiwajibika jukwaani.
Nyamwela kushoto na Dogo White wakionesha maufundi.