×

Shilole: Pete Aliyonivisha Uchebe Imetoka Marekani

Uchebe akionyesha pete hiyo.

MSANII wa muziki wa Mduara Bongo, Zuwena Mohammed, ‘Shilole’ au Shishi Baby mefunguka kuwa pete ya ndoa aliyovishwa na mume wake, Ashrafu Uchebe katika usiku wa harusi yao kuwa ni zawadi ya pekee aliyopewa na mjomba wake kutoka nchini Marekani.

 

Wakiandaa vidole.

Shilole ameanika hayo kupitia ukurasa waske wa Instagram na kusema;

Wanyamwezi tumefundwa bana 😂😂 pete nzuri tumezawadiwa na unlce wangu kutoka marekani @gift_jeweleries @gift_jeweleries kiboko ya gold original 🙏. Ameandika Shilole.

ALICHOKIANDIKA SHILOLE

 

Vee Money na Jux Walichokifanya, Shilole Hatasahau!