Mtangazaji wa kipindi cha Ala za Roho cha Clouds FM, Diva The Bosslady amefunguka kwa nini ameachia wimbo ambao unafanana na aliyekuwa wa mpenzi wake Heri Muziki na nani anamiliki wimbo huo. Hayo yamefanyika baada ya kuachana na mpenzi wake ambapo awali waliutambulisha wimbo huo wakiwa pamoja kwenye kipindi cha Leo Tena.