Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amri Jeshi Mkuu, Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 03 Februari, 2018 anawatunuku kamisheni Maafisa wapya wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).