
John Kibera, raia wa Kenya, ambaye sasa ni mchungaji alipitia maisha ya uhalifu tangu akiwa mdogo. Alianzia wizi katika mabenki na kuteka magari na baadaye kufukua makaburi na kuiba majeneza akishirikiana na vijana wenzake. Alijiingiza katika maisha hayo kutokana na ugumu wa maisha, kwani alikuwa akiishi na mama yake baada ya baba yao kufariki.
Ili kusoma habari hii ya kusisimua, Install #GlobalPublishersApp kwa Android kupitia Google Store ==> ==> bit.ly/2AAQe1d na iOS kupitia AppStore ==> apple.co/2Assf4M
Baada ya kufungua Global Publishers App, ingia kwenye menu ya MAGAZETI, utaikuta stori hii kamili na picha zote.