JPM Amualika Benjamin Netanyahu wa Israel Global Publishers March 22, 2018 4,650 views SHARE THIS: Rais Dkt. John Pombe Magufuli amemualika Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu kutembelea Tanzania pamoja na kufungua ofisi ya ubalozi wa nchi hiyo hapa nchini. Taarifa ya Ikulu imeeleza. SHARE THIS: