
Kombe la Shirikisho makundi yamepangwa kufuatana na matokeo ya timu 32 ambazo timu hizo zimecheza katika miaka mitano iliyopita na michezo hiyo itapigwa tarebe 6,7 mwezi wa nne na mechi za marudiano ni tarehe 17 na 18 mwezi wa nne mwaka huu.
Klabu ya Yanga imepangwa na Wolaitta Dicha SC ya Ethiopia.