×

Ratiba ya Makundi ya Ligi Ya Mabingwa CAF, Msuva Atupwa Kundi B

Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) usiku wa kuamkia leo imetoa ratiba ya makundi Ligi ya Mabingwa Ritz Carlton, jijini Cairo, Misri.

KIUNGO mshambuliaji Mtanzania anayecheza soka la kulipwa Klabu ya Difaa El Jadida ya nchini Morocco, Simon Msuva wameangukia katika kundi B pamoja na timu za TP Mazembe, E.S. Setifienne, na Mouloudia Club.