×

JPM Awasimaisha Kazi Wakurugenzi Halmashauri Kigoma Ujiji, Handeni – Video

IKULU: Rais Magufuli amewasimamisha kazi Wakurugenzi wa Halmashauri za Kigoma Ujiji na Pangani baada ya kuandikiwa hati chafu kwenye Vitabu vya Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) iliyowasilishwa leo.

VIDEO: FUATILIA HAPA