×

Nafasi za Kazi Global TV, Wawakilishi wa Kimataifa

Wanaitajika vijana wa kiume na kike wabunifu, wenye uelewa na mambo ya Social Media hususani You Tube. Awe mfuatiliaji wa matukio ya kitaifa na kimataifa.