×

Exclusive: Lady Jaydee Mchumba Wangu Hajafika Kwenye Shoo


Usiku wa kuamkia leo Msanii mkongwe wa muziki Bongo,  Lady Jaydee amefanya shoo kwenye ukumbi wa Police Mess Oysterbay jijini Dar ambayo mara ya kwanza ilikuwa ikitangazwa kufanyika Golden Tulip