Msomaji aliyekuwakutwa ametulia akisoma gazeti la Spoti XtraMwenyekiti wa Keko Furniture Mpira Pesa, Kessy Zorro akipata uhondo wa Spoti xtra.Muuzaji wa Spoti xtra, Lilian Richard akiwauzia washkaji wa Keko Furniture Mpira Pesa (2)Msomaji akijisomea Spoti Xtra huku akitabasamu.Akiendelea kuwauziaWakiwa wamenogewa na Spoti Xtra
Gazeti la Spoti Xtra leo limendelea kupiga mzigo mtaani baada ya kuwatembea wasomaji wake wa eneo la Keko jijini Dar ambapo baadhi ya wasomaji waliokutwa wakisoma gazeti hilo walipewa zawadi mbalimbali.
Mbali ya zawadi hizo Spoti Xtra linaendesha Shindano la Jishindie Headpho za Beats by Dre pamoja na jezi za Ligi kuu ya England.