×


Spoti Xtra


Yanga Yafumua kikosi CAF

YANGA wamemwambia Mwinyi Zahera kwamba timu yake imepata nafasi ya kushiriki Ligi ya Mabingwa kuanzia mwezi Agosti akapagawa kwa furaha na kuwasisitiza lazima kieleweke.  …

SOMA ZAIDI

Namungo Yampigia Hesabu Salamba

IMEBAINIKA kuwa nyota wa Simba, Adam Salamba amekuwa akiwindwa na klabu ya Namungo FC ambayo imepanda daraja pamoja na timu ambayo amewahi kuichezea na Lipuli…

SOMA ZAIDI

MRUNDI ASIMAMISHA USAJILI AZAM FC

AZAM FC wenyewe wala hawatishwi na mbwembwe za usajili zinazofanywa na wapinzani wao Yanga kwani wametulia wakisubiri kwanza wamalizane na Mrundi Etienne Ndayiragije kisha ndiyo…

SOMA ZAIDI

Yanga SC Yampa Mkataba Kiungo Fundi

YANGA imeanza mazungumzo ya kumnunua kiungo mshambuliaji fundi mwenye mkataba na Mtibwa, Salum Kihimbwa. Kihimbwa ni kati ya viungo waliowahi kutajwa kuwaniwa na Simba, Yanga…

SOMA ZAIDI

Simba Yajibu Mapigo Usajili wa Yanga

KOCHA wa Simba,Patrick Aussems amesisitiza kwamba usajili utakaofanyika wa wachezaji wa kigeni utakuwa na kishindo cha aina yake na hakuna timu ya Tanzania itakayoweza kuwafi…

SOMA ZAIDI

Kocha Matola kutua KMC

KMC ambayo imepata nafasi ya dezo ya kushiriki Kombe la Shirikisho msimu ujao iko kwenye mazungumzo na Kocha wa Lipuli, Seleman Matola.   Dili hilo…

SOMA ZAIDI

CHIRWA ABAKI AZAM YA KIMATAIFA

MAMBO yamemnyokea mshambuliaji wa Azam FC Obrey Chirwa baada ya kuelewana na kukubaliana kusaini mkataba wake mpya na klabu hiyo tukio ambalo litafanyika Jumamosi.  …

SOMA ZAIDI

Mbappe Aomba Kuhama PSG

MBAPPESTRAIKA wa Paris St. Germain, Kylian Mbappe inasemekana anataka kuihama timu hiyo. Mbappe mwenye umri wa miaka 20 inaaminika amewasilisha maombi rasmi kwa uongozi wa…

SOMA ZAIDI

Simba Wachemka kwa Gadiel Michael

MABOSI wapya wa Yanga wamefanikisha mipango ya kumuongezea mkataba wa miaka mitatu beki wake, Gadiel Michael ambaye ilikuwa kiduchu tu asaini Simba.   Dau alilowekewa…

SOMA ZAIDITambwe Afunguka Kulogwa na Ngoma

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Mrundi, Amissi Tambwe ndiye mchezaji anayetajwa kuwa bingwa wa kufunga mabao ya vichwa katika Ligi Kuu Bara.   Hali hiyo ni kutokana…

SOMA ZAIDI

Mtibwa kuibeba Yanga mechi za Simba SC

KAMA Mtibwa walichopania kuifanyia Simba wakikifanikisha kwenye mechi zao mbili, wataibeba Yanga kwenye mbio za ubingwa bila kujijua.   Akizungumza na Spoti Xtra, Ofisa habari…

SOMA ZAIDI

Meddie Kagere aendelea kutikisa CAF

STRAIKA wa Simba, Mnyar-wanda, Meddie Kagere bado anaendelea kushirikilia rekodi ya kuwa mchezaji mwenye mabao mengi zaidi kutoka ukanda wa Afrika Mashariki na Kati licha…

SOMA ZAIDI


Dakika 810 Kagere kushangaza

  Simba imebakiwa na mechi tisa za Ligi Kuu Bara mshambuliaji wa , Meddie Kagere, ana dakika 810 pekee za kuvunja rekodi za mabao Bongo….

SOMA ZAIDI

WARENO KUINUFAISHA SIMBA SC

KAMA zali vile! Simba i tanufaika na maufundi ya Wareno ambapo anatokea staa mkubwa wa soka duniani, Cristiano Ronaldo anayekipiga Juventus ya Italia.   Hii…

SOMA ZAIDI


AZAM WALA HAWAMUELEWI CHIRWA

UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa bado haujaelewa mshambuliaji wao Obrey Chirwa nini anakitaka kwa sasa kutokana na kutowapa jibu lolote juu ya kuongeza kwake…

SOMA ZAIDI

NGASA AOMBA NAMBA STARS

WINGA wa Yanga, Mrisho Ngasa amesema kuwa anahitaji kurudi kwenye timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kuendeleza rekodi yake ya ufungaji bora wa muda…

SOMA ZAIDI


spotiXtra


Global TV Online