Msanii nyota Diamond Platnumz kwa mara nyingine amepata fursa kuimba mbele ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli mapema leo jioni wakati wa hafla ya uzinduzi wa ujenzi mradi wa radar nne leo, ambapo pia Rais Magufuli ataipokea ndege mpya aina ya Bombadier Q400.