×

Rais Magufuli Akikagua Mtambo wa Kufua Umeme, Kinyerezi 2 (Video)

Rais Dkt. John Magufuli leo Aprili 3, anazindua mradi wa uzalishaji wa umeme kwa kutumia gesi asilia (Kinyerezi II) Jijini Dar es Salaam. Mradi huo utaingiza Megawatts 240 katika gridi ya Taifa.