Batula Ali amekaidi kanuni za kijinsia na matarajio ya jamii na kuwa mwanamke wakipekee dereva wa gari la wagonjwa yaani ambulensi katika kambi kubwa ya wakimbizi Garissa nchini Kenya, Dadaab.