×

JWTZ WALIOPANDISHWA NA RAIS MAGUFULI WAVISHWA VYEO

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Venance Mabeyo (kushoto) akimvisha cheo, Luteni Jenerali Paul Massao baada ya kupandishwa cheo na Amiri Jeshi Mkuu, Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli katika hafla iliofanyika jana April 16, 2018 katika Makao Makuu ya Jeshi, Upanga jijini Dar es Salaam.