Mbunge wa Kigoma Mjini kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema hakuna umuhimu wa serikali ya Tanzania Bara kuzuia bidhaa kutoka Zanzibar kuingia nchini, kwani kwa kufanya hivyo kunasababisha matatizo ya muungano kuendelea kushamiri.