×

YANGA, SIMBA WATINGA NA WOTOTO ALBINO UWANJA WA TAIFA

Kikosi cha timu ya Simba kilichoanza dhidi ya Yanga jana Uwanja wa Taifa.
Kikosi cha timu ya Yanga kilichoanza dhidi ya Simba.
Wachezaji wa Yanga wakijadiliana jambo.
Wachezaji wa Simba wakiwasalimia mashabiki baada ya mechi kumalizika.
Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi akisalimiana na mashabiki.
Msemaji wa Kalbu ya simba, Haji Mnara akitolewa nje ya Uwanja na polisi.

USHINDI wa bao 1-0 dhidi ya Yanga jana umeifanya Simba kufikisha pointi 62 kileleni mwa ligi hiyo baada ya kucheza mechi 26 bila kufungwa huku ikitoka sare nane na kushinda mechi 18, hii inawaweka katika nafasi nzuri ya kutwaa ubingwa. Yanga imebaki nafasi ya pili ikiwa na pointi 48 baada ya kucheza mechi 24 ikipoteza mbili na kushinda 13 huku.

PICHA: RICHARD BUKOS, GPL