
Bonge moja la Burudani limeangushwa katika sherehe ya harusi ya Alikiba na Abdukiba iliyofanyika katika ukumbi wa Serena Hotel Posta jijini Dar es Salaam.

Burudani hiyo iliangushwa na Mfalme wa masauti, Christian Bella pamoja na bwana harusi Alikiba, jambo lililofanya sherehe hiyo kunoga zaidi.