×

Rais Magufuli Akutana na Chief Mkwawa wa Iringa – Picha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na kiongozi wa kimila wa kabila la Wahehe Chifu Adam Mkwawa wakati wa sherehe za Mei Mosi Uwanja wa CCM Samora mjini Iringa leo Jumatatu Mei 1, 2018.