Rais Magufuli Ampokea Rais wa Malawi, Mhe. Chakwera
Global Publishers October 7, 2020 0 Comments
SHARE THIS:
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli amempokea Rais wa Jamhuri ya Malawi Dkt Lazarius Chikwera aliyeongozana na mkewe Monica Chikwera kuitembelea Tanzania katika ziara ya siku 3 kwa mwaliko rasmi wa Rais Magufuli.