×

MBATIA: Tumekumbatia Ujinga, Haya ni Maafa – VIDEO

MSIKIE Mbunge wa Jimbo la Vunjo, James Mbatia, akichangia hoja ya bajeti ya wizara wa Elimu, iliyowasilishwa Bungeni na waziri mwenye dhamana, Profesa Joyce Ndalichako.