×

Kaka Alikomalia Bunge Matibabu ya Lissu – Video

Kaka wa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, aitwae Alute Mughwai, amezungumzia kuhusu na taratibu za Bunge juu ya suala la matibabu kwa Wabunge.

MSIKIE AKIFUNGUKA HAPA