×

MAJALA: Mawaziri Bora Mtoke Wote, Abaki Rais Magufuli Peke Yake – Video

Mbunge wa Viti Maalum, Kunti Majala, akichangia hoja katika bajeti ya Wizara ya Maji na Umwagiliaji, amesema Wizara hiyo imeshindwa kusimamia miradi ya maji hali inayopelekea maeneo mbalimbali nchini kwananchi wake kuteseka kwa kukosa maji huku fedha za miradi hiyo zikitafunwa na wachache hali inayopelekea Rais Magufuli kwenda katika maeneo hayo na kubaini ubadhirifu huo ilihali mawaziri husika wapo.

MSIKIE MAJALA AKIFUNGUKA