×

FT: SINGIDA 0- 1 SIMBA, KUTOKA UWANJA WA NAMFUA, SINGIDA

 
 Singida United 0 – 1 Simba SC
Dakika 89 Deus Kaseke na Kenny Ally wanatafuta bao la kuwasawazishia Singida kwa kasi
Dakika ya 87  Singida United 0-1 Simba SC.
Dakika ya 85  Kichuya anaingia katoka Okwi anakwenda benchi
Dakika ya 70 Deusi Kaseke wanagongeana vizuri na Segimana
Dakika ya 54  Singida wanashambulia lango la Simba bado bao moja kwa Simba
Dakika ya 52 Anatoka Mavugo anaingia Haruna Niyonzima
Dakika 51 Kambale anakosa bao la wazi kabisa
Kipindi cha pili kimeanza
MAPUMZIKO
Dakika ya 45 Timu ya Simba wanatoka kipindi cha kwanza wakiwa wanaongoza bao 1-0 dhidi ya Singida United katika Uwanja wa Namfua.
Dakika 23: Shomari Kapombe anaifungia Simba goli la kuongoza dhidi ya Singida United

Dakika 23: Shomari Kapombe anaifungia Simba goli la kuongoza dhidi ya Singida United

A post shared by Global Publishers (@globalpublishers) on

Kikosi cha Simba kitakachoanza dhidi ya Singida United, mchezo wa Ligi Kuu Bara
1. Aishi Manula
2. Shomary Kapombe
3. Mohamed Hussein
4. Paul Bukaba
5. Yusuph Mlipili
6. Erasto Nyoni
7. James Kotei
8. Jonas Mkude
9. John Bocco
10. Laudit Mavugo
11. Emmanuel Okwi
 
Kikosi cha akiba
12. Said Mohamed
13. Nicholas Gyan
14. Asante Kwasi
15. Said Ndemla
16. Mzamiru Yassin
17. Haruna Niyonzima
18. Shiza Kichuya
 
KIKOSI CHA SINGIDA UNITED VS SIMBA LEO…
1. Ally Mustapha
2. Miraji Adam
3. Shafiq Batambuze
4. Mariki Antiri
5. Juma Kennedy
6. Mudathir Yahya
7. Deus Kaseke
8. Kenny Ally
9. Kambale Salita
10. Lubinda Mundia
11. Salum Chukwu
AKIBA:
Peter Manyika
Salum KIpaga
Kiggi Makasi
Yusuf Kagoma
Danny Usengimana
Elinywesia Sumbi
Nizar Khalfan
Hii inaitwa Guard of Honour (Salamu za heshima) Simba wanapewa heshima yao baada ya kutwaa ubingwa wa ligi kuu Tanzania bara 2017/2018

PICHA: MUSA MATEJA | GPL