

Mtumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Ruth Mwasakafyuka akizima moto katika mafunzo ya kuzima moto kwa kutumia kifaa rasmi cha kuzima moto yaliyoendeshwa na Maofisa wa Kikosi cha Zimamoto cha jijini Dodoma Mei 12, 2018. Mafunzo hayo yalifanyika kwenye viwanja vya Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma.

(Picha na Ofis ya Waziri Mkuu)