BUNGENI, DODOMA: Spika Job Ndugai leo Juni 05, amelazimika kumpokonya Najma Giga kijiti cha kuongoza kikao cha Bunge baada ya mzozo ulisababishwa na Mbunge wa Jang’ombe, Ali Omar (CCM) aliyewafananisha wapinzani na ‘mbwa’.