×

Rais wa Rwanda Paul Kagame kuapishwa Agosti 11, Mkuu wa Majeshi wa Uganda kuhudhuria

Rais wa Rwanda Paul Kagame anatarajiwa kuapishwa Agosti 11 baada ya kushinda uchaguzi uliovunja rekodi kwa kupata zaidi ya asilimia 99 ya kura.

Kagame mwenye umri wa miaka 66 alishinda uchaguzi wa 2017 kwa 98.63% ya kura, kiwango cha juu zaidi ya 93% aliyopata mwaka wa 2010 na 95% mwaka wa 2003.

Wakosoaji wake wanasema ushindi mkubwa wa Bw. Kagame si jambo la kushangaza kwani anatawala kwa mkono wa chuma.

Mkuu wa Majeshi wa Uganda Jenerali Muhoozi Kainerugaba ametangaza kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais Paul Kagame.

SINTOFAHAMU BINTI ALIYEBAKWA-VIGOGO CHADEMA GUMZO-LIKIZO YA MAKONDA?-PADRI AIBA MABILIONI

Leave a Comment