Mwili wa aliyekuwa Mkali wa Bongo Fleva, Sam wa Ukweli umezikwa kijijini kwao Kiwangwa wilayani Bagamoyo mkoani Pwani, maziko hayo yamehudhuriwa na Rais mstaafu wa awamu ya nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, Mbunge wa Chalinze, Ridhwani Kikwete na baadhi ya wasanii akiwemo Rapa Fid Q, Roma, Hemed Kavu ‘HK’, Ben Pol, G Nako na wengineo.





(PICHA: GLOBAL TV ONLINE)