×

KIBOKO AZUA TAHARUKI MORO – (Picha na Video)

MNYAMA aina ya Kiboko aliyeibuka na kuzua taharuki kwa saa kadhaa jirani na makazi ya watu maeneo ya Kihonda Mbuyuni, Morogoro, ameuawa kwa kupigwa risasi kisha kukatwa kichwa na Maofisa Maliasili, baadhi ya wananchi wamegoma kuondoka eneo hilo wakidai wanasubiri mgao wa nyama.