×

Kisa Mtoto, Dudu Baya Amvaa Dully Sykes, Aporomosha Maneno Mazito – Video

Kufuatia msanii Dully Sykes kutoa kauli kwamba Dudu Baya siyo baba bora kwani amemuacha mwanaye bila usimamizi ndiyo maana mtoto huyo, Wille anauza mihogo Coco Beach na kuvuta bangi.

 

Kufuatia kauli hiyo, Dudu Baya amemjia juu Dully na kusema kwamba Dully amekurupuka, wala hapaswi kujifananisha na Dudu Baya kwa sababu yeye ameshindwa kuwalea wanaye aliozaa na wanawake mbalimbali na kuwaacha kwa mama zao au kuwaacha kwa bibi yao.

 

MSIKIE DUDU BAYA AKIFUNGUKA