NEW SONG: BLANDINA GODFREY – UNITUMIE (OFFICIAL AUDIO)
Global Publishers June 26, 2018 4,050 views
SHARE THIS:
MUIMBAJI anayechipukia katika tasnia ya nyimbo za gospel, Blandina Godfrey ameachia wimbo wake mpya uitwao ‘Unitumie’, hakika ni bonge la wimbo maalum kwa ajiri ya kumwabudu Mungu na kutangazia Mataifa utukufu wake.