GLOBAL TV imekusogezea mtazamaji ‘Exclusive Interviews’ ya Mwanamuziki Mkongwe wa Hip Hop Bongo, Dudu Baya na mtoto wake, Wille ambao hivi karibuni wameshika hatamu katika vichwa mbalimbali vya habari kufuatia mtoto huyo kudai kuwa Baba yake amemtelekeza huku Baba akidai mwanae ameshikwa masikio na Mama yake mzazi akaacha shule na ndiyo sababu iliyomfanya asitishe kumhudumia.