×

Kanye Amuuzia Jirani Ofisi, Makazi Yake Kwa Sh. Bn 6

MWANAMUZIKI maarufu wa Marekani, Kanye West ameuza moja ya majengo yake ambayo ni ofisi na makazi jijini New York, kwa $3.14 ambazo ni Sh. bn. 6.

 

Jengi hilo lina vyumba, maliwato, ofisi na studio mbalimbali.

 

Jengo alilouza Kanye.