×

LIVE AIRPORT: Rais Magufuli Akimpokea Rais Mnangagwa wa Zimbabwe

Rais wa Jamhuri ya Zimbabwe, Emmerson Dambudzo Mnangagwa amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam na kupokelewa na mwenyeji wake, Rais John Magufuli. Rais Mnangagwa anafanya ziara rasmi ya kikazi ya siku mbili hapa nchini.