×

PAPAA DENNIS KAJA KUWASHIKA NA LOKOLO DANCE

Staa wa Muziki kutoa Area Code 254 pande za Kenya, Dennis MAyala ‘Papaa Dennis’.

BAADA ya kutikisa na Ngoma ya Tornando akiwa amemshirikisha staa wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray to the C, staa wa Muziki kutoa Area Code 254 pande za Kenya, Dennis MAyala ‘Papaa Dennis’ ameachia ujio mpya.

Katika ngoma alioachia inayokwenda kwa jina la Lokolo Dance akiwa ameshirikisha mwanadada Noushika.

Lokolo Dance ni ngoma f’lan hivi ya kudance ambayo video yake pia imekwishatoka inapataikana youtube tayari na kwenye vituo mbali mbali vya televisheni hapa nchini