
Cardi B
RAPA wa kike Cardi B wa Marekani ameweka hstoria ya kuwa rapa wa kwanza wa kike kushika nafasi mbili za nyimbo katika Billboard Hot 100.
Nyimbo hizo ni ile ya mwaka 2017 ya “Bodak Yellow” na ya sasa ya “I Like It” aliyoitoa na Bad Bunny na J Balvin.
Nyimbo za rapa wengine ni ya Lauryn Hill (“Doo Wop That Thing)”), Lil’ Kim (“Lady Marmalade”) aliyoimba na Christina Aguilera, Mya na Pink), Shawnna (na Ludacris‘ “Stand Up”) na Iggy Azalea(“Fancy” aliyoimba na Charli XCX).