Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 07 Julai, anawatunuku kamisheni Maafisa Wanafunzi 118 kundi la 63/17. Tukio hili linafanyika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam.