
Obama akiwa na Auma (wa pili kulia) na vijana wa kituo hicho.
ALIYEKUWA rais wa Marekani, Barack Obama, Jumapili amezindua kituo cha kusaidia michezo kwa vijana kinachomilikiwa na dada yake, Dk. Auma Obama.
Hii ni mara ya kwanza kwa Obama kuitembelea Kenya, nchi aliyozaliwa baba yake. Mara ya mwisho alitembelea Kenya mwaka 2015.
Obama akiwa na Auma na bibi yake, Sarah Obama, (kushoto kwake).