×

JPM KUHUDHURIA UTIAJI SAINI DARAJA LA SALANDER KESHO

 

Rais John Pombe Magufuli na Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Korea Lee Nak-yeon kesho watashuhudia utiaji saini wa mkataba wa ujenzi wa daraja jipya la Selander jijini Dar na njia zake